marwa marwa

By

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimekipongeza Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi ya Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Ufundi Stadi, Habari na Utafiti (RAAWU) kwa kuendelea kuzungumzia na kusimamia maslahi ya haki na wajibu kwa wafanyakazi wa SUA huku kikiwataka  wafanyakazi kufuata taratibu, kanuni na sheria za utumishi wa umma ili kufikia malengo ya Chuo...
Read More